Svahili

Ndugu Mkurugenzi Mkuu/Mkuu wa Taasisi,

Tafadhali pokea barua iliyoambatishwa kutoka Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) inayohusu wajibu wa taasisi zinazokusanya au kuchakata taarifa binafsi kujisajili katika Rejesta ya Tume kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Sura ya 00.

Barua hii inawasilishwa kwako ili uweze kuchukua hatua stahiki za kuhakikisha taasisi yako inakamilisha taratibu za usajili ndani ya muda uliotolewa na Serikali kabla au ifikapo tarehe 0 Aprili 0000.

Tafadhali zingatia maelekezo yaliyomo kwenye barua hii muhimu.

Kwa maelezo zaidi au msaada wa kitaalam kuhusu usajili, unaweza kuwasiliana na Dawati la Huduma kwa Wateja la PDPC kupitia helpdeskpdpc.go.tz au namba za simu zilizoainishwa kwenye barua iliyoambatanishwa.

Tunathamini ushirikiano wako katika kuhakikisha uzingatiaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.

Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
Faragha Yako Wajibu Wetu

Türkçe

Çeviri yapılırken hata oluştu. Tekrar hemen çevir butonuna tıklayınız.

(5000 karakter kaldı)
Svahili
Türkçe

Son çeviriler

devamını göster›
ADS - REKLAMLAR